April 29, 2014



Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema akirejea kwao Burundi ataendelea na shughuli mbalimbali kikiwemo kilimo.

Tambwe alikuwa anatarajia kuondoka leo nchini kurejea kwao, amesema kuwa ataendelea na kilimo pamoja na masuala ua ujenzi.
“Ntaendelea na ujenzi, lakini kilimo ndiyo kitu ambacho kimekuwa kikinivutia zaidi,” alisema
“Lakini nitakuwa nikifanya mazoezi kama kawaida, wakati nikisubiri kuanza kwa msimu,” alisema.
Tambwe ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu na amekuwa mshambuliaji tishio na gumzo zaidi kwa msimu uliopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic