April 5, 2014


Manchester United imeingia hofu baada ya taarifa kwamba huenda ikamkosa Wayne Rooney katika mechi yake ya pili dhidi ya Bayern Munich jijini Munich nchini Ujerumani, wiki ijayo.

Katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford.
Taarifa kwamba Rooney anasumbuliwa na kidole na hatacheza mechi ya Premiership dhidi ya Newcastle.
Lakini ni sehemu ya juhudi kuhakikisha anapona kabla ya mechi hiyo.
Iwapo itamkosa Rooney itakuwa ni msala kwa kuwa Robin van Persie hatacheza kutokana kuwa majeruhi kama ilivyokuwa katika mechi ya kwanza.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic