April 23, 2014



Liverpool wameamua kuungoza uwanja wao wa Anfield ili uwe na uwezo wa kuchukua 60,000.

Kwa sasa uwanja huo maarufu katika tasnia ya soka una uwezo wa kubeba watu 45,000.
Liverpool itatumia kitita cha zaidi ya pauni milioni 150 katika ukarabati huo.
 
MUONEKANO UKARABATI UTAKAPOKUWA UMEKAMILIKA 
Picha ya dizaini mpya ya uwanja huo inaonekana katika picha katika ukurasa huu.
Mashabiki wa Liverpool wamekuwa wakiiunga mkono timu yao licha ya kufanya vibaya kwa kipindi kirefu.
Lakini msimu huu mambo yamekuwa mazuri na hadi sasa ina nafasi kubwa ya kurudisha heshima na kutwaa ubingwa.


UNAVYOONEKANA SASA



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic