April 27, 2014



Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes' imefanikiwa kuitoa Kenya katika michuano ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika.


Tanzania imeshinda kwa mikwaju 4-3 ya penalti katika mechi iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mechi hiyo timu hizo sare ya bila kufungana kama ilivyokuwa katika mechi ya kwanza mjini Machakos, Kenya.

Baada ya ushindi huo, Tanzania inatarajia kukutana na Nigeria katika mbio hizo za kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic