April 7, 2014





Kiungo wa Everton, Leon Osman ameonyesha namna jicho lake lilivyoharibika baada ya kujeruhiwa na beki wa Arsenal, Bacary Sagna.

Osman alipewa kadi na mwamuzi, kitu ambacho mwenyewe amepinga. Ameweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na kusisitiza ilikuwa hatari zaidi kwake.
Katika mechio hiyo ya Premiership, Arsenal walilala kwa mabao 3-0 na kupoteza matumaini ya kuwania ubingwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic