April 29, 2014


Swali la muhimu wanalojiuliza mashabiki wa Real Madrid kwamba inawezekana wachezaji watatu Cristiano Ronaldo, Gareth Bale na Karim Benzema watashindwa kufunga hata bao moja.

Lakini rekodi zinaonyesha Madrid haijapoteza Munich hivi karibuni, kitu kinachowatia moyo zaidi.
Ukiachana na hivyo, pia wanaona faraja kwamba kama iliwahi kufungwa, basi bado haikuwa zaidi ya bao moja.
Maana yake leo wanachotakiwa kuendeleza rekodi na wao kufunga bao moja au mawili ili kumaliza kabisa mchezo huo.

Lakini Bayern pia imebadilika, ina kasi na kocha Pep Guardiola anayeijua vizuri Real Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic