April 6, 2014


Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema kweli anaweza kuondoka katika klabu hiyo, lakini bado anaamini anaweza kubaki.
Tambwe raia wa Burundi amesema uamuzi wake wa kubaki au kuondoka utategemea na mjadala wa maslahi yake.

“Kama Simba wataweza kunipatia ninachotaka, naweza kuona bora kubaki nilipo kabla ya kuondoka,” alisema.
“Lakini kama maslahi yatakuwa juu zaidi kwingine, basi sitakuwa na namna kwa kuwa kazi yangu ni mpira hata jkama nina mapenzi na timu fulani,” alisema.
Tambwe amekuwa akiwaniwa na Azam FC, naye anasisitiza kuwa anatamani kucheza michuano ya kimataifa.
Azam FC, Yanga na Mbeya City ndiyo zenye nafasi ya kupata nafasi mbili za juu huku Simba ikiwa imeishaondoka kwenye kundi hilo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic