Kocha Mkuu wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema
mchezaji wake nyota, Cristiano Ronaldo hatacheza mechi dhidi ya Celta Vigo,
kesho.
Mechi hiyo ya La Lila ni muhimu na Real Madrid
wanalazimika kushinda, lakini Ancelotti amesema bado hajawa fit vizuri hive
wana hofu asijitoneshe kabla ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
dhidi ya Atletico Madrid.
"Hatacheza kasha, hayuko fit kwa asilimia
mia, siko tayari kumchezesha mchezaji amble hayuko fiti.
"Ndiyo pia kitatokea kwa Carvajal, di MarĂa amber pia hawk fit, sioni kama
ni sahihi wacheze," alisema.
Ancelotti alisema pamoja na kumkosa Ronaldo,
kikosi chake kina nafasi ya kufanya vizuri katika mechi hiyo.
Hata hive imekuwa ikionekana Madrid bill Ronaldo
imekuwa ikiboronga.
0 COMMENTS:
Post a Comment