HUU NI MCHORO WA MESSI AKIWA KWENYE MWENDO KASI |
HUYU NDIYE TREVILLION |
Paul Trevillion ni kati ya makatunisti maarufu
zaidi duniani wenye uwezo mkubwa wa kuchora picha za watu maarufu wakiwemo
wanamichezo.
Alizaliwa Machi 11, 1934 katika kitongoji cha Tottenham
mjini London na amekuwa akitumika sana katika uchoraji katika magazeti ya Daily
Mail na mtandao wa MailOnline.
0 COMMENTS:
Post a Comment