MABADILIKO KATIKA LISTI HII NI KWAMBA MAN UNITED IMEPOROMOKA HADI NAFASI YA TATU IKITOKEA KILELENI, BAYERN IMEPANDA NA MADRID IMEBAKI ILIPO. LAKINI MAN CITY IMEONGEZA THAMANI NA KUINGIA TANO BORA WAKATI ENGLAND IMEENDELEA KUNG'ARA KWA KUWA NA TIMU 2 KWENYE TOP 5 NA TIMU TANO KWENYE TOP 10, INAFUATIWA NA HISPANIA NA UJERUMANI, KILA MOJA INA TIMU 2 NA UFARANSA YA MWISHO KWA KUWA NA TIMU MOJA. ITALIA AMBAO WALING'ARAZA ZAIDI MIAKA 10 ILIYOPITA KWENYE SOKA LA ULAYA, HAWANA TIMU HATA MOJA KWENYE 10 BORA! |
0 COMMENTS:
Post a Comment