June 2, 2014


 MADRID IMEICHAPA JUVENTUS KWA MABAO 5-1 KATIKA MECHI MAALUM YA WAKONGWE MJINI TURIN, ITALIA.

ZINEDINE ZIDANE AMEZICHEZEA TIMU ZOTE MBILI KWA KIPINDI KIMOJA KILA MOJA KWA KUWA ALITOKEA JUVE MWAKA 2001 KWA DAU LA PAUNI MILIONI 46 NA KUJIUNGA REAL MADRID.
MECHI HIYO ILIKUWA NA MVUTO WA AINA YAKE NA CLARENCE SEEDORF AMBAYE SASA NI KOCHA WA AC MILAN ALIFUNGA BONGE LA BAO LILILOFANANISHWA NA LILE ALILOWAHI KUFUNGA ZIDANE KWENYE FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA.
CHEKI WAKONGWE WALIOPAMBANA..

Juventus Legends: Tacconi, Torricelli, Ferrera, Carrera, Birindelli, Di Livio, Camoranesi, Tacchinardi, Davids, Nedved, Amoruso.
Subs: Chimenti, Porrini, Montero, Iuliano, Mirkovic, Vierchowod, Tudor, Dimas, Alessio, Ravenelli, Vieri, Padovano.
Scorer: Tacchinardi.
Real Madrid Legends: Contreras, Salgado, Hierro, Pavo, Karanka, Makelele, Karembu, Seedorf, Zidane, Morientes, Esnaider.
Subs: Sanchez, Butragueno, Velasco, Perez, Tote, De La Red, Sabido, Amavisca.
Scorers: Morientes, Zidane, Seedorf, De La Red, Velasco.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic