England wameanza mazoezi rasmi kwa ajili ya Kombe la
Dunia lakini wakilazimika kupelekwa mazoezini chini ya ulinzi mkali wa jeshi.
Gari na pikipiki moja ilitangulia mbele ikifuatiwa na basi
lililobeba wachezaji halafu baada ya hapo magari mengine ya jeshi likiwemo roli
lililobeba wanajeshi zaidi ya watano wakiwa na bunduki za kivita lilifuatia.
Hiyo inaonyesha kiasi gani hali ya usalama si ya
uhakika kwa asilimia mia katika michuano hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment