June 3, 2014




Real Madrid wameanika uzi wao mpya ambao utatumika katika mechi za ugenini kwa msimu wa 2014-15.


Lakini wadau wameufananisha uzi huo na rangi ya yule katuni maarufu Pink Panther.

Jezi hizo ni za rangi ya pinki na zitachukua nafasi ya ya zile za rangi ya kahawia ambazo Madrid walizitumia msimu ulipita.
Wadau wengine wamesema jezi hizo zina rangi za akina dada hivyo hazikustahili lakini wako waliozipongeza.
Wakati mwingine Madrid iliwahi kutumia jezi nyekundu kama zile za ugenini.
Kawaida jezi ya nyumbani ni ile yenye rangi nyeupe na ndiyo maana wanajulikana kwa jina la The White.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic