June 23, 2014



Klabu ya Yanga imetangAza wachezaji 11 waliomaliza mikataba klabuni hapo, hivyo wako huru kwenda wanakotaka.


Yanga imeeleza kwamba haina nia ya wachezaji hao 11 akiwemo kiungo mkongwe Athumani Iddi 'Chuji' na beki kinda David Luhende.
LUHENDE...
Yanga imesema wachezaji hao wako tayari wkwenda kujiunga na klabu yoyote.

Wafuatao ni listi ya wachezaji 11 ambao Yanga imeamua kuachana nao kabla ya msimu wa 2014-15.

1. David Luhende

2. Athuman Idd 'Chuji'
 
3. Geroge Banda -U20

4. Yusuph Abdul -U20

5. Rehani Kibingu -U20

6. Hamisi Thabiti

7. Reliants Lusajo

8. Bakari Masoud - U20

9. Shaban Kondo

10. Abdalllah Mguhi "Messi" U-20

11. Ibrahim Job

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic