Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limempongeza
aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa.
Msemaji wa TFF, Boniface Wambura amesema nafasi
hiyo aliyoipata Mkwanza inaweza ikawa ndiyo njia kwa wengine.
“Tunamuombea afanye vizuri zaidi na
tunampongeza, tunatambua inaweza kuwa changamoto kwa wengine pia.
“Tunatamani kuona makocha wengi kutoka hapa
nchini wanapata nafasi nje,” alisema Wambura.
Kocha Hans van der Pluijm aliyekuwa anainoa
Yanga ndiye alimpigia pande hilo Mkwansa ambaye alikuwa msaidizi wake.
0 COMMENTS:
Post a Comment