Kiungo wa Ivory Coast, Yaya
Toure yuko katika vita kupambana kuhakikisha anakuwa katika kiwango safi katika
mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Japan, Jumapili.
Kocha wake, Sabri Lamouchi amesema
wanafanya kila juhudi kuhakikisha Yaya anakuwa fiti.
Kiungo huyo wa Man City,
alifanyiwa upasuaji baada ya kuumia.
Lamouchi na kikosi cha
madaktari wa Ivory Coast wamekuwa wakifanya kazi kwa juhudi kuhakikisha Yaya
anakuwa fiti na kuanza kazi katika mechi hiyo dhidi ya Japan.
0 COMMENTS:
Post a Comment