July 2, 2014


 Ubelgiji imeing’oa Marekani katika michuano ya Kombe la Dunia na kusonga hadi hatua ya nusu fainali baada ya kuichapa kwa mabao 2-1.



Mechi hiyo ngumu, tamu na yenye upinzani mkali ilimalizika baada ya dakika 120 kutokana na 90 za mwanzo kwisha kimyakimya.
Mabao ya Marekani yalifungwa na De Bryune na Lomelu Lukaku aliyeingia baada ya dakika 90.
 Lakini Wamarekani karibu viwanja vyote vya michezo nyumbani kwao vilikuwa vimejaa mashabiki wakishuhudia mechi hiyo huku wakiongozwa na Rais wao Barack Obama.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic