July 5, 2014


DAVID LUIZ (PICHANI) AMEIBUKA SHUJAA BAADA YA KUIFUNGIA TIMU YA BRAZIL BAO LA PILI AMBALO LIMEIPA USHINDI WA MABAO 2-1 KATIKA MECHI YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA. SASA BRAZIL ITAKUTANA NA UJERUMANI.

KATIKA MECHI YA LEO, MABAO YOTE YA BRAZIL YAMEFUNGWA NA MABEKI WA KATI AMBAO NI THIAGO SILVA NA LUIZ HUKU LILE LA COLOMBIA LIKIFUNGWA NA MSHAMBULIAJI HATARI KINDA WA MIAKA 22, JAMES RODRIGUEZ KWA MKWAJU WA PENALTI.

Brazil: Julio Cesar, Maicon, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Fernandinho, Paulinho (Hernanes 86), Oscar, Neymar, Hulk (Ramires 83), Fred.
Subs: Jefferson, Dani Alves, Dante, Maxwell, Henrique, Willian, Bernard, Jo, Victor.
Booked: Thiago Silva, Julio Cesar.
Goal: Thiago Silva 7, David Luiz 69.
Colombia: Ospina, Zuniga, Zapata, Yepes, Armero, Guarin, Sanchez Moreno, Cuadrado (Quintero 80), Rodriguez, Ibarbo (Ramos 46), Gutierrez (Bacca 70).
Subs: Vargas, Arias, Carbonero, Aguilar, Mejia, Balanta, Martinez, Valdes, Mondragon.
Booked: Rodriguez, Yepes.
Referee: Carlos Velasco Carballo (Spain).












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic