July 1, 2014

 Wamarekani weusi, mbwembwe ndiyo maisha yao bana, bondia ambaye hajawahi kupigwa katika mapambano yake yote 46 ya ngumi za kulipwa, Floyd Mayweather alionyesha gari lake la kifahari aina ya Buggati wakati wa tuzo za BET.

Tuzo hizo Mtanzania Diamond naye alikuwa kati ya washiriki ingaa hakushinda, na Mayweather alionekana akiwa kwenye gari hilo pamoja na mpenzi wake.

Pembeni mabaunsa wenye mwili nyumba walikuwa wakihakikisha bosi wao huyo milionea kutoma TMT akipita kwa raha mustarehe.
Usisahau kwa sasa Mayweather ndiye mwanamichezo anayelipwa zaidi duniani baada ya kuwapiga vikumbo maarufu unaowajua kama Cristiano Ronaldo, LeBron James maana sasa bondia huyo amekunja dola 105million katika mapambano yake mmawili ya mwisho.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic