July 1, 2014

 Baada ya kujihakikishia kwamba hana nafasi ya kucheza Kombe la Dunia akiwa na kikosi cha Brazil, Ricardo Kaka ameamua kuachana na AC Milan na kurudi katika klabu yake ya kwanza ya Sao Paoulo.

Tayari Sao Paulo nayo imemuachia kwa mkopo na sasa anakwenda kuichezea klabu ya Orlando City inayoshiriki Ligi Kuu nchini Marekani maarufu kama Major League Soccer.
Kaka ameishatua Marekani na kupokelewa na mashabiki kibao wa Orlando City ambao hawakuamini kama angeweza kweli kujiunga na klaby hiyo.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic