July 2, 2014



Roy Keane ameanza kazi rasmi ya kocha msaidizi wa Aston Villa  inayoshiriki Ligi Kuu England.


Keane amethibitisha mbele ya waandishi kwamba atakuwa msaidizi wa Paul Lambert katika kikosi hicho cha Aston Villa.
Keane ameishawahi kuwa kocha mkuu katika klabu za Ipswich na Sunderland.
Lakini alipata umaarufu mkubwa wakati akiwa nahodha wa Manchester United chini ya Alex Ferguson.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic