July 2, 2014



Uongozi mpya wa Simba chini ya Mwenyekiti, Evans Aveva unatarajia kutangaza kamati mpya za mashindano na usajili.

Taarifa za ndani kutoka Simba zimeeleza mchakato wa undwaji wa kamati hizo umekamilika na huenda leo au kesho kamati hizo zikatangazwa.

Imeelezwa uongozi wa Simba umeamua kufanya kazi hiyo haraka baada ya kuona masuala mengi yamechelewa.

"Unajua baada ya Aveva kuingia madarakani, kila kitu uongozi wake unalazimika kufanya kwa kazi ya kimondo.

"Muda umekwenda sana, hivyo uongozi unalazimika kufanua mambo mengi kwa wakati mmoja," kilieleza chanzo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic