NI kituko ambacho kimefanywa na
mwamuzi Issa Juma, baada ya kuwahi kumaliza mechi kabla ya dakika 90, kisa ni
kuwahi kufuturu baada ya muda kwa kufungulia kufika, katika mchezo
uliozikutanisha timu za Amazing dhidi ya Wakushine kwenye Uwanja wa Kwizela,
Kigogo, Dar.
Championi Jumamosi lililokuwepo
uwanjani hapo lilishuhudia tukio hilo ambalo mwamuzi alilazimika kusitisha
mchezo huo uliokuwa wa kukata na shoka ambapo hadi anapuliza kipenga matokeo
yalikuwa ni suluhu.
SOURCE: CHAMPIONI JUMAMOSI








0 COMMENTS:
Post a Comment