August 6, 2014


Mshambuliaji Karim Benzema wa Real Madrid amezikata maini Arsenal na jirani zao Tottenham Hotspurs ambazo zilikuwa zinamuwania.


Hiyo inatokana na  Mfaransa huyo kuongeza mkataba wake na Madrid hadi mwaka 2019.

Awali mkataba huo ulikuwa unaishia mwaka 2015 na Arsenal ndiyo ilionyesha juhudi kubwa sana.

Lakini sasa kaongeza mkataba na hii inaonyesha Madrid bado inamhitaji na hii inadhibitisha haitakuwa na mpango wa kumsajili tena Falcao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic