August 14, 2014


PHIRI (KUSHOTO) AKIWA NA SALEH ALLY, MARA BAADA YA KUSAINI MKATABA WA KUINOA SIMBA KWA KANDARASI YA MWAKA MMOJA.

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha Simba.

Phiri raia wa Zambia amesaini mkataba huo leo kwenyeHoteli ya Regency.
Phiri ameiambia SALEHJEMBE, mkataba huo unampa ruhusa kuitumikia Simba kwa matumaini makubwa.
“heshima ya Simba kwangu ni kubwa sana, ingawa nilikuwa nina mipango mingine, lakini nimekubali kurejea.
“Kazi haitakuwa lahisi, lakini vizuri kwamba sasa tumeingia mkataba mpya wa kazi, ninaamini mambo yatakwenda vizuri,” alisema Phiri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic