August 14, 2014



Kikosi cha Real Madrid kilichotwaa Kombe la Super Cup dhidi ya Sevilla ndiyo ghali zaidi duniani.

Kikosi hicho kilikuwa na thamani ya jumla ya pauni milioni 364 ambazo ni nyingi zaidi na hakuna kikosi kilichowahi kupangwa na kuwa ghali namna hiyo.

Thamani hiyo ya fedha ni kwa maana ya uhamisho na waliokifanya kipae zaidi na kuwa ghali ni Gareth Bare (pauni 86m), Ronaldo (pauni 80m), Kroos (pauni 20m), James (pauni 63m) na wengine ambao walikuwepo.

Kikosi hicho kilishinda mabao 2-0 na kubeba ubingwa huo ambao unaiongezea Madrid idadi ya makombe ya Ulaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic