August 8, 2014



JAJA

Wachezaji nyota wa Kibrazili, Andrey Countiho na mwenzake Genilson Santana ‘Jaja’, wameanza kupewa mazoezi ya staili mpya ya kushangilia kwa kucheza staili ya muziki ya ngololo.


Wawili hao wameanza kupewa staili hizo za kushangilia kupitia kwa kocha wao wa makipa, Juma Pondamali ambaye pia ni mwanamuziki.
 
COUTINHO
Pondamali amesema mafunzo hayo na kudai kuwa Coutinho ndiye amekuwa akishika mafunzo kwa haraka.

“Nimeanza kuwapa mafunzo hayo kwa wiki sasa, nasubiri wakikutana na (Mrisho) Ngassa, (Simon) Msuva wawe levo sawa,” alisema Pondamali ambaye pia ni msanii.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic