August 12, 2014



Mshambuliaji Didier Drogba aliyerejea Chelsea, atakosa mechi ya ufunguzi ya kikosi hicho.
Drogba aliumia enka katika mechi ya kirafiki ambayo iliisha kwa Chelsea kuilamba Ferencvaros kwa mabao 2-1.
Vipimo vya mwisho jana vimeonyesha Drogba aliumia sana na anahitaji matibabu na mapumziko.
Hata hivyo,Kocha Mourinho hatakuwa na hofu kutokana na kuwa na washambuliaji lukuki kama Fernando Torres na diego Costa aliyemsajili kwa pauni milioni 32 kutoka Atletico Madrid. 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic