August 12, 2014



Mara tu baada ya kusajili Simba, mshambuliaji Paul Modo Kiongera amerejea kwao Kenya.

Kiongera amerejea Kenya kujaribu kuiokoa timu yake ya KCB inayopambana kuepuka kuteremka daraja.
Simba imempa ruhusa ya wiki mbili ili arejee nchini mara tu baada ya kumalizana na KCB.
Mshambuliaji huyo amekula mkataba na Simba baada ya kuwavutia wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Zesco ya Zambia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic