August 8, 2014

Patashika wakati wa mtanange kati ya Azam FC na Mtibwa Sugar.
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Musa Mgosi (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Azam.
Azam FC wakifanya maombi kabla ya mechi.
Mtibwa wakijadiliana jambo kabla ya kumenyana na Azam.
TIMU ya Mtibwa Sugar imeichapa mabao 2-0 Azam FC katika mtanange wao wa kirafiki kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic