August 13, 2014



PHIRI AKIWAPUNGIA MKONO MASHABIKI NA WANACHAMA WA SIMBA, MARA TU BAADA YA KUWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR.

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri ametua nchini leo, tayari kusaini mkataba.
Phiri amepokelewa na mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Haikuwa idadi kubwa sana ya watu, lakini walionekana kufurahia mara baada ya kocha huyo kutua.
Phiri anachukua nafasi ya Zdravko Logarusic ambaye ametupiwa virago, siku 20 tu baada ya kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja.

Hii ni mara ya nne, Phiri kuifundisha Simba katika nyakati tofauti.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic