August 12, 2014



Kocha Patrick Phiri anatarajia kuwasili kesho saa 7 mchana akitokea kwao Zambia.

Baada ya kutua nchini, Phiri anatarajia kusaini mkataba wa kuifundisha Simba.
“Ikiwezekana anaweza kwenda moja kwa moja mazoezini kuwaona wachezaji.
“Halafu siku moja baadaye ataanza rasmi kazi, baadaye timu itaondoka kwenda Zanzibar kwa ajili ya kambi,” kilieleza chanzo.
Phili amechukua nafasi ya Zdravko Logarusic ambaye ametupiwa virago baada ya kuzozana na wachezaji.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic