August 12, 2014





Uongozi wa Shule ya Sekondary ya Loyola ya Mabibo jijini Dar es Salaam, umewazuia waandishi wa habari kuhudhuria mazoezi ya Yanga.

Waandishi wamezuiwa a uongozi wa Loyola, kisa kikiwa ni kupiga picha ya yule binti aliyeomba sahihi ya mshambuliaji wa Yanga, Coutinho.
Binti huyo alimfuata Coutinho na kumuomba aweke saini kwenye mkono wake, naye kafanya hivyo, huku waandishi wakijinafasi kwa picha.
Siku iliyofuata, picha za binti huyo zilijaa kwenye magazeti na mitandao.
Hali ambayo ikaonyesha kuukasirisha uongozi wa shule ambao ukazuia waandishi kuhdhuria mazoezi!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic