August 12, 2014



Hii ndiyo ilikuwa picha ya mwisho ambayo Kocha Zdravko Logarusic alipiga kwa kutumia simu yake akiwa na kikosi cha Simba.

Loga ambaye anapendelea mitandao ya kijamii kama Facebook alipigwa picha hii na daktari wa Simba.
Wakati huo wachezaji wake walikuwa wanatokea uwanjani kwenda vyumbani kwa ajili ya kujiandaa kurejea uwanjani.
Katika unawaona Zesco nao wakiingia vyumbani na mwisho wa mechi, Wazambia hao walishinda kwa mabao 3-0 na kuamsha tafrani kwa Loga ambaye alitupiwa virago.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic