Beki wa Paris Saint-Germain, Thiago
Silver atakaa nje kwa mwezi mzima baada ya kuumia.
Kwa mujibu wa gazeti la L'Équipe,
Silva atakaa nje kwa mwezi kutokana na kuumia nyama za nyuma ya mguu.
Kutokana na hali hiyo, daktari
ameagiza akae nje kwa mwezi mzima.
0 COMMENTS:
Post a Comment