August 13, 2014



Cristian Ronaldo amemzawadia tuzo yake ya mchezaji wa mechi, kocha wake wa zamani, Alex Ferguson.
Ronaldo alisema ameamua kumzawadia Ferguson kwa kuwa ndiye aliyemzawadia.

Ferguson aliyekuwa kwenye kikosi cha ufundi cha Uefa wakati Real Madrid ilipowachapa mabingwa Europa Cup, Sevilla  2-0, ndiye aliyeteuliwa kumkabidhi tuzo hiyo Ronaldo.

Ronaldo alifunga mabao yote mawili katika mechi hiyo iliyopigwa Cardiff.
Manchester United ndiyo iliyomtoa na Ferguson ndiye alimchukua kutoka Sporting Lisbon iliyomkuza kisoka akiwa kinda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic