Mario
Balotelli ametoa onyo kiana kwa Everton baada ya kufanya mazoezi makali ya
mikwaju ya mipira iliyokufa.
Liverpool
wanawavaa Evertob jatika mechi maarudu kama “Merseyside” itakayopigwa kesho
Jumamosi.
Balotelli
chini ya Kocha Brendan Rodgers alitumia muda mwingi akifanya mazoezi ya kupiga
mikwaju ya adhabu katika mazoezi ya jana Alhamisi.
Inaonekana
Liverpool wanajiandaa zaidi iwapo itatokea wakapata mikwaju ya adhabu nje
kidogo ya lango la Everton.
Mechi
hiyo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote mbili ambao wengi wao
wamekuwa ni ndugu na marafiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment