Mshambuliaji
nyota wa zamani wa Juventus, Juventus, Alessandro Del Piero ametua nchini India
kuanza kucheza soka la kulipwa.
Del
Piero amejiunga na timu ya New Delhi Dynamo na amesaini mkataba wa wiki 10 tu.
Ligi
Kuu ya England inajulikana kama Super League na sasa imekuwa ikikusanya nyota
lukuki waliowahi kucheza ligi kubwa kama England na Italia.
Del
Piero mwenye umri wa miaka 39, kabla alikuwa nchini Australia akikipiga katika
klabu ya Sydney FC.
MASTAA
WANAOKIPIGA INDIA SASA
David
James - Kerala Blasters
Marco
Materazzi - Chennayin
Alessandro
Del Piero - Delhi Dynamos
Freddie
Ljungberg and Nicolas Anelka - Mumbai City FC
Joan
Capdevila - NorthEast United
David
Trezeguet - FC Pune City
Luis
Garcia - Atletico de Kolkata
0 COMMENTS:
Post a Comment