Baada ya Man United kupokea
kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Leicester City, kiungo wake Angel di Maria
ameonekana mitaani akiranda.
Di Maria raia wa Argentina
alionekana akifanya manunuzi ya vitu mbalimbali.
Lakini kabla aliingia
kwenye ATM na kuchota ‘minoti’ aina ya pauni, halafu akaanza kufanya manunuzi.
Di Maria amejiunga na Man
United akitokea Real Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment