Kiungo Frank Lampard sasa
atacheza mechi nyingine dhidi ya Chelsea, safari hii kwenye Uwanja wake kipenzi
wa Stamford Bridge.
Manchester City imeamua
kuongeza mkataba na Lampard hadi mwezi Februari, mwakani.
Inaonekana kama angeondoka
mapema, angeishia kufanya mazoezi tu kwa kuwa Ligi Kuu ya Marekani (Major
League) akiwa na timu yake ya New York City, itakuwa haijaanza.
Hivyo sasa atabaki na Man
City hadi February, maana yake atacheza mechi dhidi ya Chelsea Januari 31.
Katika mechi ya Jumapili,
Lampard aliifungia Man City bao la kusawazisha na kuikoa kupoteza mchezo dhidi
ya Chelsea.
Lampard ni kati ya
wachezaji vipenzi vya mashabiki wa Chelsea ambayo ameichezea zaidi ya miaka 10.
MECHI ANAZOTARAJIWA KUICHEZEA CITY
Sheff Wed (a)
Wednesday
Hull (h) - September
27
Roma (h) - September
30
Aston Villa (a) -
October 4
Tottenham (h) -
October 18
CSKA (a) - October 21
West Ham (a) - October
25
Man Utd (h) - November
2
CSKA (a) - November 5
QPR (a) - November 8
Swansea (h) - November
22
Bayern (h) - November
25
Southampton (a) -
November 30
Sunderland (a) -
December 3
Everton (h) - December
6
Roma (a) - December 10
Leicester (a) -
December 13
C Palace (h) -
December 20
West Brom (a) -
December 26
Burnley (h) - December
28
Sunderland (h) -
January 1
Everton (a) - January
10
Arsenal (h) - January
17
Chelsea (a) - January
31
0 COMMENTS:
Post a Comment