September 1, 2014


NDEGE YA KUKODI IKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JIJI LA MANCHESTER, MSHAMBULIAJI RAMADEL FALCAO ANAONEKANA AKIWA NDANI TAYARI KWENDA KUFANYA VIPIMO.

FALCAO TAYARI NDANI YA GARI AINA YA CHEVLOLET AMBAO NI WADHAMINI WA MAN UNITED AKIPELEKWA KLABUNI MANCHESTER UNITED KWA AJILI YA VIPIMO ILI KUJIUNGA NA TIMU HIYO KWA MKOPO KWA MWAKA MMOJA.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic