September 6, 2014

 Mwendesha farasi Jockey Johnny alikuwa katika wakati mgumu baada ya farasi wake kucharuka wakati anaanza mashindano.

MAshindano hayo yaliyofanyika kwenye kanti ya Laytown, Meath nchini Uingereza yaliyokuwa na mvuto na tukio hilo la farasi kuruka juu lilikuwa kivutio.
Hata hivyo mwendesha farasi huyo alionyesha ufundi mkubwa kwa kumdhibiti farasi wake na baadaye akarejea mashindanoni na kushika nafasi ya saba.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic