September 8, 2014


Imeelezwa kwamba Radamel Falcao hajadanganya kuhusiana na umri wake.

Taarifa zinasema ana umri wa miaka 30 na si 28, kama inavyoelezwa.
Lakini baadaye imedhinishwa kwamba kweli Falcao ana miaka 28 kama pasi yake ya kusafiria inaelezwa.
Hivyo bado Manchester United imesisitiza itaendelea na mpango wa kumsajili kwa mkataba mrefu badala ya ule wa mkopo walionao kwa sasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic