Hiki ndiyo kikosi cha kwana cha watu 11
ambacho amekipanga Kocha Marcio Maximo wakati Yanga ikiivaa Thika United katika
mechi yake ya kwanza ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Tayari Maximo alicheza mechi tatu za kirafiki
Pemba na Unguja na kushinda zote huku akiwa amekataa kadhaa kwenye Uwanja wa
Taifa.
1.
DEO MUNISI ‘DIDA’
2.
JUMA ABDUL
3.
OSCAR JOSHUA
4.
KELVIN YONDANI
5.
NADIR HAROUB ‘CANNAVARO’
6.
MBUYU TWITE
7.
SIMON MSUVA
8.
HASSAN DILUNGA
9.
JAJA
10.
HARUNA NIYONZOMA
11.
COUTINHO
0 COMMENTS:
Post a Comment