September 21, 2014

Ramadhani Salim raia wa Kenya ni mmoja wa washambuliaji hatari ambayo Simba wakati wanaivaa Coastal Union, wanapaswa kumchunga.

Rama alikuwa mshambuliaji wa Gor mahia ya Kenya na kama unakumbuka Kocha wa zamani wa Simba, Zdarvko Logarusic alitka sana atue Msimbazi badala ya Paul Kiongera.
Ni mzuri kwa mashuti, anapiga miguu yote, mzuri wa vichwa na kwa msimu mmoja amewahi kufunga mabao 21 kwa michuano yote akiwa na Gor Mahia.
Yumo kwenye kikosi cha leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic