October 26, 2014

Mashabiki wa Stand United walitoa kali pale walipoingia uwanjani na gari maarufu kama kijiko.

Mashabiki hao walifanya hivyo kwenye Uwanja wa Kambarage wakati Yanga ikiivaa Stand United, jana.

Hata hivyo, pamoja na mbwembwe hizo, Stand waliambulia kipigo cha mabao 3-0 kikiwa ni cha pili nyumbani baada ya kuanza ligi kwa kutwangwa bao 4-1 na Ndanda FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic