October 26, 2014

Kocha wa Man United, Luis van Gaal amesema anajua Jose Mourinho wa Chelsea atamuanzisha mshambuliaji Diego Costa.

Van Gaal ambaye ni kati ya walimu wa Mourinho amesema tayari wamejiandaa kwa kuwa wanajua Coasta hatakaa nje licha ya taarifa ya majeruhi ya nyama zake za paja.
Kuonyesha kweli van Gaal anamjua vizuri Mourinho, taarifa zinasema Costa atakuwa kwenye kikosi cha leo kwa kuwa jana alifanya mazoezi.
Man United iko ugenini kuwavaa wagumu hao ambao wamekuwa wakipaa kwenye Premier League na Man United wanaosua, wanatakiwa kushinda leo ili kuinua hali yao ya kujiamini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic