October 26, 2014

Beki Mbuyu Twite alionyesha umahiri wa kucheza muziki aina ya mayenu mara baada ya mshambuliaji Mbrazil, Jaja kuifungia Yanga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu Bara.

Yanga ilikuwa inaivaa Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, jana.
Twite alionyesha kama akicharaza gitaa huku akicheza, hali iliyowalazimu wote walioongozana naye kushangilia kwa kucheza mayenu huku Jaja na Coutinho raia wa Brazil wakionekana kubabaika.
Coutinho aliposhindwa, yeye alianza kuwahamasisha mashabiki kushangilia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic