Mashirikisho la Soka la Kimataifa
(Fifa) na lile la Africa (Caf) yametuma salamu la rambirambi kutokana na kifo
cha nahodha wa Afrika Kusini, Bafana Bafana Senzo Mayiwa.
Mayiwa ameuwawa kwa kupigwa
risasi na majambazi waliotaka
kumpora.
Kipa huyo wa Orlando
Pirates ameuwawa jana nje ya jiji la Johannesburg.
Fifa wametuma salamu hizo
kupitia rais wake, Sepp Blatter na Caf wamefanya hivyo kupitia bosi wao mkubwa,
Issa Hayatou.
0 COMMENTS:
Post a Comment