Yanga imeanza kujifua ikiwa
mjini Kahama ambako imeweka kambi.
Yanga imefanya mazoezi mara
mbili kujiandaa na mechi dhidi ya Kagera Sugar wikiendi ijayo.
Tayari kikosi hicho chini
ya Marcio Maximo kimefanikiwa kupata pointi tatu kwa kuifunga Stand United kwa
mabao 3-0.
Chini ya Maximo, Yanga
imekuwa ikiendelea na maandalizi yao dhidi ya Kagera Sugar ambayo ni moja ya
timu ngumu katika Ligi Kuu Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment